Tuesday, March 4, 2014

Huwa tunasherehekea siku ya wanawake duniani mwezi wa tatu kila mwaka...Mwanadada Shamim Mwasha Kamilagwa huandaa siku hii kuwapa fursa wanawake na wadada wote kukutana na kufurahi ikiwemo kujifunza mawili matatu...mwaka huu itakua Diamond Jubille VIP hall siku ya tar 8...tiketi zinapatikana STM cal 0715782784


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...