Sunday, May 12, 2013

MAZNAT BRIDAL CARE 10YRS ANIVESSARY... HIVI NDIVYO ILIKUA KAZI NI KWAKO!!!


Maza mwenyewe...kwa kweli she was looking splendid...the dress was designed at her mothers shop
In her lovely dress...wow


Mgeni Rasmi alikua mke wa makamo wa Rais ma Asha Bilal
The Silver Lady was invited tooo...below you can see some few designs from STM
The ushers... as u can see...walivutia kwa kweli

Ufunguzi wa shampeign...mabaunsa 10 walihusika

The Decor as you can see...lovely

Mzee Yusuph mfalme wa taarab in the house


Bahati Bukuku nae alikonga nyoyo za waumini

The voice...hawa jamaa kiboko walinifurahisha


waheshimiwa sana nao walikuwepo
Kwa kweli watu walikua ni wengi mno na walipendeza sana....mimi kama designer na fundi nilivutiwa sana .... below katika picha hawa walinifanya nigeuke mara mbili na kujifunza kitu.... nilikua nafurahia paty at the same time nilikua kiofisi zaidi...walipendeza na waligusaa!
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...